November 28, 2011

PICHA ZAIDI ZA MATUKIO YA SHOW YA VINEGA

SUGU Akikamua Kwa Uwezo.
Mashabiki Wa Vinega
Mh. Mbowe Akiwa Sambamba Na Vinega
Sister P Akiwarusha Vinega
Zay B Naye Alikuepo Katika Kuwaweka Gado Vinega
Daz BABA Akiwapa Tano Vinega
Dj Snox Kutoka Mabaga Fresh Akiwataabisha.
Hardmad Akiwapa Dance Kali Vinega.
Mr. Simple Akiwapa Compaign Vinega
Mzungu Akiwa Tayari Kuscan Virus Na Vinega.

Hii ni fundisho dogo sana kwa wanyonyaji wa muziki hapa Bongo. Sasa Mbeya City Kaeni Tayari Kwa Movement.








November 27, 2011

SUGU Na VINEGA Waitetemesha Dar


Mamia ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakiongozwa na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, Mbunge wa Ilemela Hynes Kiwia na Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika (CHADEMA) juzi walifurika katika viwanja vya Ustawi wa jamii

CHADEMA Wakutana Na Rais Ikulu!!


Rais Jakaya Kikwete, jana alikutana na viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kufanya nao mazungumzo ikiwa ni kutekeleza ahadi yake ya kukutana nao baada ya chama hicho kuomba kuonana naye..

Hii Ni Sehemu Ndogo Tu Ya Umati Wa Mashabiki Waliofurika Kushuhudia SHOW Ya VINEGA PALE USTAWI

Kama unavyoona hapo juu mambo yalikua mambo usipime.
Na Hiyo Juu Ni STAGE UNDERCONTRUCTION
Hapa Ndo Mpango Ulikua Umekamilika Kabisa 

Producer Man Walter Kutoka Combination Sound Asistiza Kutomsamehe 20%



Baada ya MAN WATER ambae ni producer wa msanii 20% kuongea ukweli siku tatu zilizopita kwenye AMPLIFAYA, kwamba yeye na 20% hawapatani na hawajawasiliana kwa zaidi ya miezi sita,

Ben Pol Ashawishiwa Kujiunga Na FREEMASONS Ili Afanikiwe.

Mara nyingi tumezoea kusikia shutuma kuhusu stori za mastaa wa dunia hata marais wa nchi kuwa waumini wa dini inayomuabudu shetani, kama marais kadhaa wa marekani akiwemo George Bush,

Muvi Ya "CPU" Yaoneshwa Kwa Mara Kwanza Ndani Ya Mlimani City Bongo Cinema


Movie ya CPU ambayo kama sijakosea itakua ni movie ya kwanza ya kibongo maandalizi yake na mpaka movie kukamilika yamechukua muda mrefu, imeonyeshwa kwenye BIG SCREEN ya ukumbi wa CINEMA mkubwa kuliko yote Tanzania, Mlimani CITY.

Jeshi La Polisi Kenya Lawaomba Radhi Wananchi Wake.

Juzi kwenye eneo la kawangware kwenye jiji la Nairobi kulikua kwa moto baada ya maandamano ya maelfu ya watu, yaliyopelekea mambo mengi kusimamishwa kama usafiri na biashara, maandamano yaliyofanywa na wakazi wa eneo hilo kutokana na kulaumu mauaji ya baba na mtoto wake wa miaka 14, ambao inaaminika wameuwawa na polisi kimakosa.

Wanajeshi Wa Misri Wanyoosha Mikono Juu!!

Stori kutoka Misri, zinaamplfy kwamba  baada ya mizengwe kuzidi, Watawala wa kijeshi wa nchi hiyo wamemteua waziri mkuu wa zamani Kamal Ganzouri kuunda serikali mpya huku Baraza la mawaziri la kiraia lilokuwa limeteuliwa na jeshi,


November 25, 2011

Mariah Yeater Ahojiwa kuhusu Jinsi Ilivyokuwa Wakati Akipewa Ujauzito Na Justin Bieber

Mwanamke anayefahamika kwa jina la Mariah Yeater aliyeibuka na kudai kwamba amezaa na Justin Bieber hivi karibuni amefanyiwa mahojiano na The Insider na kueleza jinsi ilivyokuwa wakati akikutana na Justin.

Kikwete: Nimefanya kama Nyerere, Mwinyi na Mkapa

Asema hajavunja Katiba wala sheria mchakato katiba mpya    
Hakuna jinsi ya kumkwepa Rais kuwa sehemu ya mchakato    
Ahaidi anakusudia kuusaini muswada huo mapema sana

20 Percent abambwa na GANJA!

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, limemsweka nyuma ya nondo na kumfikisha kwa pilato (Mahakamani) msaani wa Bongo fleva, Abbas Hamisi Kisanza au kwa jina la kisanii 20%, kwa tuhuma za kupatikana na bangi.

Albam Mpya Ya Drake ‘Take Care’ Yatabiriwa Kufanya Mapinduzi Kimauzo Wiki Hii.

Mashabiki wa rapa Drake wameonesha uzalendo wa kuikubali albam yake. Albam ya Take Care ni ya pili kutoka kwa The Young Money star’ imeanza kuonesha dalili za kufanya vizuri  kwa wiki ya kwanza baada ya kuingia sokoni Nov 15.

New Music: Busta Rhymes f/ Chris Brown – ‘Why Stop Now’


Busta Rhymes amespit fire ndani ya brand new single yake “Why Stop Now” aliyoifanya na Chris Brown,

November 21, 2011

The King Is Baccccccccccccccckkkk!!!!!!!!!!!!

Baada Ya Kukaa Kimya Kwa Zaidi Ya Miezi Minne (4), Sasa Mtu Mzima Kazini Kama Zamaniiiiiiiiii!!!!!!!. Ukimya Wangu Ulisababishwa Na Mengi Ikiwemo Kuweka Mambo Ya Familia Na Maisha Katika Mstari, Na Sasa Kila Kitu Kitu Kitakua Poa Kila Siku Utapata Story Mpya Na Kila Kitu Kuhusu Maisha Ya Watu Maarufu Kutoka Nzima.

Stay Tuned Hapa Hapa!!!!!!!!!

Nyeusi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

King David "tHE mATSER oF cRAZY sHOwzzzzzzzz"